Shujaa wa Uhuru Tanzania, Bibi Titi Mohamed
Mwandishi nguli wa vitabu vya lugha ya Kiswahili nchini Tanzania Emmanuel Mbogo akishirikiana na wachapishaji na wasambazaji wa vitabu, African Proper Education Network wanatarajia kuzindua kitabu na mchezo maalumu wa kuigiza kwa ajili ya kumuenzi shujaa wa Uhuru wa Taifa hilo Bibi Titi Mohamed.
Novemba 5 mwaka 2000, Bibi Titi Mohamed atakuwa ameadhimisha miaka kumi na nane baada ya kifo .
Mwandishi wa BBC,Eagan Salla ameandaa taarifa ifuatayo;