Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kangi Lugola: Mbona imechukua muda kuwabaini wasiojulikana Tanzania?
Maswali mengi yamekuwa yakiulizwa nchini Tanzania kuhusu wasiojulikana. Kwa muda sasa visa vya watu kutekwa nyara vimekuwa vikitajwa kutekelezwa na watu wasiojulikana nchini. Katika Mahojiano ya kipekee na BBC Swahili Waziri wa mambo ya ndani Tanzania Kangi Lugola ajibu: