Harakati za kuweka vituo vizuri vya kuimarisha hali ya walemavu Afrika Kaskazini

Maelezo ya video, Harakati za kuweka vituo vizuri vya kuimarisha hali ya walemavu Afrika Kaskazini

Amina Slaousi alikuwa katika likizo na mumewe wakati alipoanguka katika baiskeli na kulazimika kutumia kiti cha magurudumu. Ni ajali iliobadilisha sio tu maisha yake bali pia maisha ya maelfu ya walemavu wengine nchini Morocco na kwengineko.