Je, kuna umuhimu wa kuzungumzia swala la ubakaji waziwazi?

Mwanamasumbwi, Callum Hancock ameelezea jinsi alivyobakwa akiwa na umri wa miaka 10 na kijana mwenzake. Hancock amesema kulinyamazia swala hilo lilimsukuma kutaka kujitoa uhai na amewasihi wanaume wengine ambao wamepitia kisa kama hicho kuzungumzia ili wapate afueni.

Je, kuna umuhimu wa kuzungumzia swala la ubaki waziwazi?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com