Mkasa wa MV Nyerere Tanzania: Familia zazungumza kuhusu wapendwa wao Tanzania

Kivuko kilichopewa jina MV Nyerere kilizama Alhamisi adhuhuri kikitokea bandari ya Bugolora katika kisiwa cha Ukerewe kuelekea katika kisiwa cha Ukara ambapo takriban watu 209 wakidaiwa kufariki