Mwanamuziki Bieber amshangaza mchumba wake hadharani

Mwanamuziki raia wa Canada Justin Bieber, ameonekana nje ya kasri ya Buckingham na gita lake akimuimbia mpenzi wake Hailey Baldwin huko London.

Je, wewe utamchumbia vipi mpenzi wako?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com