Panya kwenye mchuzi asababishia mgahawa kupata hasara kubwa China

Mgahawa mmoja maarufu wa China umepata hasara ya dola milioni 190 katika soko la hisa baada ya mwanamke mmoja kupata panya aliyekufa kwenye mchuzi. Mgahawa huo ulio mkoa wa Shandong kwa sasa umefungwa kwa muda.