Belachew Girma anacheka kwa saa kadhaa mfululizo

Maelezo ya video, Belachew Girma anacheka kwa saa kadhaa mfululizo

Raia wa Ethiopia Belachew Girma anaweza kucheka kwa saa kadhaa mfululizo. Anaamini kila mtu anastahili kucheka sana ili aishi maisha yenye afya na raha