Tamima Mohammed: Mtandao umekuwa mwalimu na soko kwangu, watu hawaamini

Maelezo ya video, Tamima Mohammed: Mtandao umekuwa mwalimu na soko kwangu, watu hawaamini

Tamima Mohammed ni kijana Mkenya ambaye amejifunza kazi ya kuoka keki na kuongeza mapambo ya kipekee kupitia mtandao ya YouTube.

Ametumia azma yake ya kupata kufahamu mapishi na kuwa biashara.

Video: Gloria Achieng na Judith Wambare, BBC