Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je ni kwa nini Mombasa inabadilika rangi?
Uamuzi wa kaunti ya Mombasa kuamuru wamiliki wa majumba yote katikati mwa mji huo yapakwe rangi ya samawati na nyeupe umezua hisia tofauti huku baadhi ya wakaazi wakifurahia mabadiliko hayo na wengine hasa wafanya biashara wakilalamika