Jane: Nina masponsa wawili na sioni tatizo

Jane, mwanafunzi wa miaka 20 anayesomea shahada ya kwanza katika chuo kikuu Nairobi anakiri kwamba ana masponsa wawili, haoni sababu ya kuona haya au aibu kuhusu mahusiano yake - ni sehemu tu ya maisha ya kila siku na juhudi za kujikimu kimaisha Nairobi, anasema.