Wendo Sahar Aszed anabadili fikra dhidi ya wanawake walio kwenye uongozi Kenya

Maelezo ya video, Wendo Sahar Aszed anabadili fikra dhidi ya wanawake walio kwenye uongozi Kenya

Wendo Sahar Aszed anabadili fikra dhidi ya wanawake walio kwenye uongozi anasema kuna umuhimu wa mwanamke kutekeleza majukumu katika nafasi yake kama mwanamke. Muasisi huyo wa shirika la Dandelion Africa amejishughulisha na miradi ilionuiwa kuwainua wanawake katikati mwa kauntiya Baringo Kenya kutokana na ari yake ya kubadili imani zinazohusishwa na HIV na utamaduni wa ukeketaji. Amezungumza na mwandishi wa BBC Judith Wambare kuhusu ina maana gani kuwa mwanamke katika uongozi katika enoe ambako wanawake hawapewi nafasi ya kuzungumza.