Ng'ombe wanaosikiza muziki wakati wa kukamuliwa maziwa Kenya
Katika shamba lake George Kagima Kariuki huko Nakuru Kenya, Ng'ombe huwashiwa muziki kuwasaidia kuongeza kiwango cha maziwa. Na kama mwandishi wa BBC Swahili Judith Wambare alivyogundua....sio hayo tu, Ng'ombe hao wanalala kwenye magodoro

