Wapiga mbizi kutoka jeshi la wanamaji wa Ufaransa wanashirikiana na shirika moja la Marekani wa kutafuta mabaki ya marubani wawili wa Marekani wa vita vya pili vya Dunia mashariki pwani mwa kisiwa cha Ufaransa cha Corsica.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Mpiga mbizi mfaransa akiogelea juu ya mabaki ya iliyokuwa ndege ya Marekani ya USAAF P-47 Thunderbolt (Warthog)
Shirika la (DPAA) limekuwa likisaidiwa na jeshi la Ufaransa kutafuta mabaki ya ndege.
Uchunguzi wa DNA kwa mabaki yaliyogunduliwa utasaidia kutambua marubani wa Marekani ambao wameorodheshwa kuwa waliotoweka wakiwa vitani.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Picha hizi zinaonyesha wapiga mbizi wa jeshi la Ufaransa kutoka FS Pluton M622 wakiogelea juu ya mabaki ya USAAF P-47 Thunderbolt ambayo ilianguka mwaka 1944.
Picha hizi zinaonyesha wapiga mbizi wa jeshi la Ufaransa kutoka FS Pluton M622 wakiogelea juu ya mabaki ya USAAF P-47 Thunderbolt ambayo ilianguka mwaka 1944.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Mbiga mbizi Mfaransa wa kikosi cha FS Pluton M622 akiogelea juu ya mabao ya ndege
Lengo la DPAA ni kuwatafuta wamarekani kutoka kwa mizozo iliyopita kuanzia Vita vya Pili vya Dunia.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Lengo la DPAA ni kuwatafuta wamarekani kutoka kwa mizozo iliyopita kuanzia Vita vya Pili vya Dunia.

Wapiga mbizi wafaransa na DPAA pia walikusanya mabaki kutoka kwa ndege kuyachunguza.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Wapiga mbizi wafaransa na DPAA pia walikusanya mabaki kutoka kwa ndege kuyachunguza.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Wapiga mbizi wafaransa na DPAA pia walikusanya mabaki kutoka kwa ndege kuyachunguza.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Wapiga mbizi wafaransa na DPAA pia wanakusanya mabaki kutoka kwa ndege ya USAAF P-47 Thunderbolt kuyachunguza.
Chanzo cha picha, AFP
Maelezo ya picha, Wapiga mbizi wakiogelea juu ya mabaki ya ndege ya USAAF P-47 Thunderbolt (Warthog)