Kwanini Wasukuma hawachezi na fisi Tanzania

Kuna hofu huenda umaarufu wa tamasha la utamaduni la kabila la Wasukuma ''Bulabo'' ukapungua kutokana na kutoonekana kwa fisi katika tamasha hilo miaka ya hivi karibuni.

Badala yake wacheza ngoma wamekuwa wakitumia ngozi yake pekee.

Bulabo hufanyika kila mwaka mwezi wa sita kusherekea mavuno, tamasha hili limekuwa maarufu sana nchini Tanzania kutokana na matumizi ya chatu na fisi katika ngoma jambo ambalo huwaduwaza wengi.

Video Eagan Salla