Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jamii ya Ogiek bado walalamika kuhusu ardhi Kenya
Moja wapo ya jamii asili zenye idadi ndogo ya watu nchini Kenya inasherehekea mwaka mmoja tangu mahakama ya haki za kibinadamu kutoa uamuzi dhidi ya serikali katika kesi ya umiliki wa ardhi.
Jamii ya Ogiek ambao asili yao ni msitu wa Mau ina takriban watu elfu arobaini na watano.
Ferdinand Omondi ana ripoti jinsi serikali ya Kenya inavyokabiliwa na wakati mgumu kutii uamuzi wa mahakama