Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uraibu wa dawa ya Codeine Kenya
Kenya imepiga marufuku uuzaji wa dawa ya Cordaine baada ya utafiti uliyofanywa na bodi ya kudhibiti uzaji wa dawa nchini Kenya, kubaini kuwa dawa hiyo inatumiwa vibaya. Msikilize Dkt Anthony Martin Kiprotich afisa mkuu wa kitengo cha biashara ya kimataifa katika bodi hiyo akieleza madhara ya Codeine: