Mafuriko yatatiza jitihada za kuwasaidia waathirika Kenya

Barabara zilizofurika maji kutokana na mvua kubwa Kenya zimezusha changamoto katika kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko katika sehemu tofuati nchini. Zaidi ya kaunti 13 zimeathirika na mvua kubwa inayonyesha huku watu 69 wakiripotiwa kufa tangu Machi mwaka huu.

Katibu mkuu wa shirika la msalaba mwekundu Kenya Abbas Gulet amezungumza na BBC Swahili