Kwa Picha: Tuzo za Oscars mwaka 2018

Wawania tuzo na wageni walifika kwenye zulia jekundu kwenye warsha ya 90 ya tuzo za Oscar.

Lupita Nyong'o

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Lupita Nyong'o, ambaye alishinda tuzo ya Oscar mwaka 2012 kutokana na filmu ya 12 Years a Slave alivaa vazi la kupendeza
Daniel Kaluuya

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Muwania tuzo Muingereza Daniel Kaluuya pia alikuwa amejiandaa kwa sherehe hiyo
Allison Williams

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Allison Williams, nyota wa Get Out, alikuwa kati wa watu kwanza kwenye zulia jekundu
Tom Holland

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Tom Holland, maarufu kwa filamu Spider-Man adventures, alifika kupeana tuzo
Ashley Judd

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Ashley Judd, ambye ameshiriki katika filamu ya Time's Up movement, alikuwepo
Adam Rippon

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mazazi ya Mwanariadha wa kuteleza kwenye barafu wa Olimpiki Adam Rippon yalizua maoni mitandaoni
Allison Janney

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Mwania tuzo Allison Janney alikua na vazi jekundu
Salma Hayek

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Salma Hayek alikuwa na vazi maridadi
Darrell Britt-Gibson

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Darrell Britt-Gibson, wa Three Billboards, alionyesha mahanjamu yake
Laura Dern

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Laura Dern, nyota wa Jurassic Park na Star Wars, akipiga maposi
Helen Mirren

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Dame Helen Mirren, ambaye alishinda Oscar mwaka 2007 kwa filamu portrayal of the Queen alikuwepo
Elisabeth Moss

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Elisabeth Moss, nyota kipindi cha televisheni The Handmaid's Tale, alionekana mwenye kutabasamu
Patrick Stewart

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Nyota wa X-Men Sir Patrick Stewart
Sally Hawkins

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Muigizaji Muingereza Sally Hawkins, aliyewania tuzo la muigizaji bora wa The Shape of Water, alitabasa mbele ya kamera kabla ya kuelekra kwa sherehe
Saoirse Ronan

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Nyota wa Lady Bird na mwania tuzo Saoirse Ronan alivaa vazi la waridi
Jennifer Lawrence

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Jennifer Lawrence
Whoopi Goldberg

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Whoopi Goldberg alikuwa na vazi la michoro iliyofanana na tattoo yake
Meryl Streep

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Meryl Streep alitembea kwenye zulia jekundu kwa uteuzi wake wa 21 kuwania tuzo la Oscar
Andra Day

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mwimbaji mmarekani Andra Day kweyu zulia akipiga posi kwa kamarek
Danai Gurira

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Muigizaji wa Black Panther na Walking Dead actress Danai Gurira akionyeha michoro kwenye kichwa chake
Margot Robbie

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Nyota wa I, Tonya Margot Robbie alikuwa sawa kabisa kwenye zulia