Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wanaharakati wa Zanzibari wawasilisha kesi kuupinga muungano na Tanzania bara
Kundi la wanaharakati lenye wafuasi zaidi ya elfu arobaini kutoka visiwani Zanzibar wamefungua kesi katika mahamaka ya Afrika Mashariki wakitaka Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uvunjwe kwa madai kwamba hauna uhalali. Rashid Salum Adiy ambae ni mmoja wa wanaharakati waliofungua kesi hiyo, ameiambia BBC kwamba, wamekwenda katika mahakama hiyo ya Afrika Mashariki baada ya mahakama kuu Zanzibar kushindwa kuisikiliza kesi hiyo.
Bofya kitufe umsikilize: