Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uhalifu wa kimitandao unaweza kuangamizwa kwa njia gani Tanzania?
Katika Haba na Haba, leo tunazungumzia uhalifu wa kimitandao. Tunaangazia zaidi uhalifu unaotekelezwa kwa kutumia simu za mkononi au rununu na mtandao.
Polisi wanasema mwaka jana, makosa yaliyoripotiwa kwa polisi Tanzania ni zaidi ya 8,000.
Je, uhalifu huu unaweza kuangamizwa?