Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtoto wa Rais Museveni wa Uganda aitwaye Natasha Karugire amejitosa katika fani ya filamu
Mmoja wa watoto wa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda aitwaye Natasha Karugire amejitosa katika fani ya kusimamia filamu na kazi yake ya kwanza inaitwa Bunduki 27,
sehemu aliyoichukua katika Kitabu cha baba yake kiitwacho Sowing Mustard Seed ambacho ni wasifu wa namna Rais Museveni alivyoingia madarakani kupitia msituni.
Mwandishi wetu Issaac Mumena anasimulia zaidi.