Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wanaojidai kuwa manabii wanahubiri dini?
Jeshi la polisi nchini Tanzania linamshikilia mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Onsemo Machibya maarufu kwa jina alilojipa la Nabii Tito.
Kuelekeza waumini kula nyasi, kuwapulizia dawa za kuua wadudu machoni waumini kwa ahadi ya kupata utajiri, kupata uponyaji na kuuona ufalme wa Mungu ni miongoni mwa yale ambayo wamekuwa wakihubiri wale wanaojiita manabii ama watumishi wa Mungu barani Afrika.
Watanzania maoni yao ni gani?