Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Vifaranga wa kuku 6,400 wenye thamani ya zaidi ya shilingi za TZ milioni 12 wamechomwa moto Tanzania
Vifaranga wa kuku 6,400 wenye thamani ya zaidi ya shilingi za TZ milioni 12 wateketezwa Namanga wilayani Longido, mpakani mwa Tanzania na Kenya.Hii ni baada ya vifaranga hao kuingizwa nchini Tanzania kinyume cha sheria .
Balthazar Nduwayezu alifika Namanga na kuanda taarifa hii.