Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Anita Nderu: Nilishtukia mkono wa mwanamume kwenye ziwa langu
Mtangazaji wa runinga na redioni Kenya Anita Nderu alidhalilishwa akisafiri kwa kutumia magari ya uchukuzi wa umma Nairobi, maarufu kama matatu.
Amejitokeza na kusimulia yalimfika akitumai kwamba hatua hiyo itawasaidia waathiriwa wengine kujitokeza.