Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Watanzania wapinga kauli ya Magufuli kuhusu watoto wa shule wajawazito
Kauli ya Rais wa Tanzania John Magufuli kwamba wasichana wanafunzi wanaopata ujauzito wasirudi shuleni imepingwa na baadhi ya wananchi na wanaharakati wakisema wasichana hawa wana haki ya kikatiba kuendelea na elimu.
Jana jioni Rais Magufuli alitoa msimamo kwamba uongozi wake hautaruhusu wanafunzi hawa warudi shuleni wakati akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Chalinze, pembeni kidogo mwa Dar es Salaam.
Sammy Awami ana taarifa zaidi