Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtaalamu anayesaidia kutatua matatizo ya maji Arusha
Wanasayansi na watu waliobobea katika taaluma mbalimbali barani Afrika ,shughuli zao zilizo nyingi zimekuwa za kinadharia kuliko vitendo .
Nchini Tanzania, Dkt Askwari Hilonga mtaalamu wa masuala ya Uhandisi wa kemikali ameamua kutumia taaluma yake kutatua matatizo yanayosababishwa na maji kutokuwa safi na salama katika jamii inayomzunguka.
Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa amefuatilia shughuli na azma ya msomi huyo huko kaskazini mwa Tanzania, mkoani ya Arusha.