Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Habari za Global Newsbeat 1500 7/06/2017
Mshambuliaji wa zamani wa England Andy Cole amesema ana safari ndefu katika kupona kwake upandikizwaji wa Figo aliofanyiwa.Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United, Newcastle na Blackburn alipata tatizo la kuharibikiwa Figo mwaka 2015.
Je, ni habari za mchezaji gani ungependa kuzifahamu zaidi?
Tujadiliane kwenye facebook bbcswahili.com