Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kiswahili chakaribia kuwa lugha rasmi Rwanda
Wabunge nchini Rwanda wamepitisha kwa kauli moja mswada wa sheria kuhusiana na haja ya kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa rasmi.
Lugha hii inaelekea kuwa ya nne rasmi katika taifa hilo baada ya Kinyarwanda Kiingereza na Kifaransa.
John Gakuba anaarifu zaidi.