Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jiwe kubwa linalocheza nchini Tanzania
Kaskazini Magharibi mwa Tanzania kuna jiwe kubwa ambalo hucheza lililoko katika kisiwa cha Ukerewe mkoani mwanza,Jiwe hilo huwavutia watalii wengi ambao kila mwaka humiminika huko kuliona. Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo;