Tathmini ya mwaka wa mwisho wa rais Obama madarakani kwa picha

Mnamo mwezi Februari: "Mpiga piocha huyu anampata rais Obama akiwaza ,kitu ambacho si rahisi kuangazia .Alikuwa akijiandaa na wafanyikazi wake wa usalama kabla ya mkutano na viongozi wa Ulaya.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mnamo mwezi Februari: "Mpiga picha huyu anampata rais Obama akiwaza ,kitu ambacho si rahisi kuangazia .Alikuwa akijiandaa na wafanyikazi wake wa usalama kabla ya mkutano na viongozi wa Ulaya.
Februari: "Rais Obama ashtuka baada ya mpira wake wa gofu kushindwa kuingia katika shimo la mchezo huo

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Februari: "Rais Obama ashtuka baada ya mpira wake wa gofu kushindwa kuingia katika shimo la mchezo huo
Mwezi Machi: "Ni heshima ya kifani kuwaona wasichana hawa wakikuwa.Malia aliye mbele na Sasha wote walialikwa kuwa wageni kwa chakula cha jioni kwa heshima ya waziri mkuu wa Canada Trudeau Justin.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Machi: "Ni heshima isio kifani kuwaona wasichana hawa wakikuwa. Malia aliye mbele na Sasha wote walialikwa kuwa wageni wa chakula cha jioni kwa heshima ya waziri mkuu wa Canada Trudeau Justin.
Mwezi Machi: "Ni mchana mmoja ambapo rais Obama alianza kucheza densi mbele ya msaidizi wake wa ikulu Ferial Govashiri alimuonyesha kusakata densi akijiandaa kwa harusi yake''

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Machi: "Ni mchana mmoja ambapo rais Obama alianza kucheza densi mbele ya msaidizi wake wa ikulu Ferial Govashiri alimuonyesha kusakata densi akijiandaa kwa harusi yake''
Mwezi Machi: Mke wa rais Obama anaangalia huku rais Obama akimpa pambaja Caprina Harris. Caprina alidaiwa kulia aliposikia kwamba rais Obama hatokuwa tena rais, video hiyo iliokuwa katika mtandao wa Yu Tube ilisambazwa sana na rais Obama akamjibu kupitia mtandao wake wa facebook na kusema hendi kokote. Ni sababu hiyo iliosababisha wao kukutana.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Machi: Mke wa rais Obama anaangalia huku rais Obama akimpa pambaja Caprina Harris. Caprina alidaiwa kulia aliposikia kwamba rais Obama hatokuwa tena rais, video hiyo iliokuwa katika mtandao wa Yu Tube ilisambazwa sana na rais Obama akamjibu kupitia mtandao wake wa facebook na kusema hendi kokote. Ni sababu hiyo iliosababisha wao kukutana.
Mwanamfalme George asalimiana kwa mkono na rais Barrack Obama aliyechuchumaa ,huku mkewe rais Obama na babake George mwanamfalme William akiangalia.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwanamfalme George asalimia kwa mkono na rais Barrack Obama aliyechuchumaa ,huku mkewe rais Obama na babake George mwanamfalme William akiangalia.
Mwezi June: Makamu wa rais wa Marekani Joe Bidden awafukuza watoto na waandishi habari kwa kutumia maji kwa jina super soaker wakati wa sherehe yake iliofanyika Washington DC

Chanzo cha picha, David Lienemann / White House

Maelezo ya picha, Mwezi June: Makamu wa rais wa Marekani Joe Bidden awafukuza watoto na waandishi habari kwa kutumia maji kwa jina super soaker wakati wa sherehe yake iliofanyika Washington DC
Mwezi Juni: Mtoto wa kike aliyekalia kiti cha makamu wa rais amwangalia rais Obama ambaye pia naye akimatzama na kutabasamu

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Juni: Mtoto wa kike aliyekalia kiti cha makamu wa rais amwangalia rais Obama ambaye pia naye akimatzama na kutabasamu
Julai: Angela Merkel, katikati, akicheka huku mikono yake ikiwa mdomoni ,naye rais wa Ufaransa Francois Hollande kushoto na Obama wakikosa kuonyesha hisia.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Julai: Angela Merkel, katikati, akicheka huku mikono yake ikiwa mdomoni ,naye rais wa Ufaransa Francois Hollande kushoto na Obama wakikosa kuonyesha hisia.
Mwezi Agosti: Huku wafanyikazi wakiangalia ,rais Obama alizima mishumaa iliowekwa katika zawadi ya keki ya siku yake ya kuzaliwa

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Agosti: Huku wafanyikazi wakiangalia ,rais Obama alizima mishumaa iliowekwa katika zawadi ya keki ya siku yake ya kuzaliwa
Mwezi Agosti: Nje ya ofisi ya Oval nchini Marekani, rais Barrack Obama anaangalia filamu kupitia miwani ya Virtual Reality huku msaidizi wake akimpuuza na kuendelea na kazi yake.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Agosti: Nje ya ofisi ya Oval nchini Marekani, rais Barrack Obama anaangalia filamu kupitia miwani ya Virtual Reality huku msaidizi wake akimpuuza na kuendelea na kazi yake.
Mwezi Septemba: rais Obama alikuwa ameenda kutembea na mwanawe Malia katika mbuga ya wanyama ya Great Falls mjini Virginia na kukalia mwamba karibu na mto Potomac.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Septemba: Rais Obama alikuwa ameenda kutembea na mwanawe Malia katika mbuga ya wanyama ya Great Falls mjini Virginia na kukalia mwamba karibu na mto Potomac.
Mwezi Septemba: Baada ya kukutana na muigizaji na mwanaharakati wa haki za kibinaadamu George Clooney, rais alimualika yeye na wenzake watatu ili kupiga filamu ya Hoops katika eneo la kuchezea mpira wa vikapu la ikulu ya White.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Septemba: Baada ya kukutana na muigizaji na mwanaharakati wa haki za kibinaadamu George Clooney, rais alimualika yeye na wenzake watatu ili kupiga filamu ya Hoops katika eneo la kuchezea mpira wa vikapu la ikulu ya White.
Mwezi Septemba: Mke wa rais Michelle Obama akiwa katika duka la jumla tayari kujiandaa kwa maisha ya baada ya ikulu ya Whitehouse mjini California.

Chanzo cha picha, Lawrence Jackson / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Septemba: Mke wa rais Michelle Obama akiwa katika duka la jumla tayari kujiandaa kwa maisha baada ya ikulu ya Whitehouse mjini California.
Mwezi Septemba: Rais Obama ampiga picha aliyekuwa rais George Bush na mkewe laura Busha katika hafla ya ufunguzi wa makavazi ya Waafrika Wamarekani .

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Septemba: Rais Obama ampiga picha aliyekuwa rais George Bush na mkewe laura Busha katika hafla ya ufunguzi wa makavazi ya Waafrika Wamarekani .
Mwezi Oktoba: Rais Obama anaketi katika benchi katika Ikulu ya Whitehouse akizungumza na mtu bandia .

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Oktoba: Rais Obama anaketi katika benchi katika Ikulu ya Whitehouse akizungumza na mtu bandia .
Mwezi Oktoba: Kulikuwa hakuna mwangaza wakati rais Obama na mkewe walipokuwa wakitembea ndani ya Ikulu ya Whitehouse kwa mkutano wa mwisho wa mwaka na wafanyikazi wa Ikulu hiyo.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Oktoba: Kulikuwa hakuna mwangaza wakati rais Obama na mkewe walipokuwa wakitembea ndani ya Ikulu ya Whitehouse kwa mkutano wa mwisho wa mwaka na wafanyikazi wa Ikulu hiyo.
Mwezi Oktoba : Rais Obama alikuwa anawakaribisha watoto walio jirani na Whitehouse kwa sherehe ya halloween wakati alipokutana na mvulana huyu aliyekuwa amevalia kama Superman. ''furisha misuli yako'',Obama alimwambia mvulana huyo.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Oktoba : Rais Obama alikuwa anawakaribisha watoto walio jirani na Whitehouse kwa sherehe ya halloween wakati alipokutana na mvulana huyu aliyekuwa amevalia kama Superman. furisha misuli yako,Obama alimwambia mvulana huyo.
Mwezi Novemba: Rais Obama akutana na mvulana aliyemwandikia barua akimtaka kumnusuru kijana wa Syria aliyepatikana chini ya vifusi vya jumba lililolipuliwa mjini Allepo Syria. Kijana huyo alimtaka rais Obama kumchukua mvulana huyo na kumpeleka kwao.

Chanzo cha picha, Pete Souza / White House

Maelezo ya picha, Mwezi Novemba: Rais Obama akutana na mvulana aliyemwandikia barua akimtaka kumnusuru kijana wa Syria aliyepatikana chini ya vifusi vya jumba lililolipuliwa mjini Allepo Syria. Kijana huyo alimtaka rais Obama kumchukua mvulana huyo na kumpeka kwao.