Malkia wa urembo albino atuzwa nchini Kenya

Mamia walijitokeza kushuhudia maonyesho ya urembo ya Mr na Ms Albino nchini Kenya. kila siku Albino wanakabiliwa na hatari ya kuwawa na viungo vyao vya mwili kuuzwa kutokana na imani za kishirikiana Afrika mashariki na Afrika kusini.