Kwa Picha: Tetemeko la ardhi Bukoba, Tanzania

Tetemeko la ardhi la nguvu ya 5.7 katika vipimo vya Richter lilitokea eneo la Bukoba, kaskazini magharibi mwa Tanzania Jumamosi na kusababisha maafa.