Nigeria, taifa linalotumia Facebook zaidi Afrika

Nchini Nigeria watu hutumia Facebook kuliko kwingineko barani Afrika. Nchini Nigeria wanaotumia Facebook angalau mara moja kwa mwezi ni milioni 16.