Kwa Picha: Msisimko mji wa Dodoma

Rais John Magufuli ametangaza nia ya kukamilisha safari ya kuhamishia makao makuu ya serikali mkoani Dodoma, safari iliyoanza miaka 42 iliyopita.