Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Saina: Tumejiandaa kukabili Waethiopia Rio
Betsy Saina ni miongoni mwa wakimbiaji watatu wa Kenya watakaopambana na wanariadha wa Ethiopia hapo kesho, mjini Rio de Janeiro kwenye fainali ya mbio za 10000m ya michezo ya Olimpiki.
John Nene amezungumza na Saina kabla aondoke kuelekea Rio.