Elon Musk akana magari yake yalitumika kuichunguza China
Mmiliki wa magari ya kieletroniki ya Tesla, Elon Musk amesema atafunga kampuni hiyo iwapo gari zake zilitumika kuichunguza China. Hii ni baada ya jeshi la China kuyapiga marufuku magari ya Tesla kwa madai kwamba gari hizo zilikuwa na camera zilizokuwa zikinasa data.
