Babu,89, anayesakata densi katikati mwa mji wa New york baada ya kupokea chanjo ya corona
Babu mwenye umri wa miaka 89 huko New York anayependa kusakata densi, Robert Holzman amepokea chanjo dhidi ya corona mapema ili aweze kuendeleza talanta yake ya kudensi. Holzman anaifahamu mitindo yote ya densi kwani amekuwa akicheza densi tofauti kwa zaidi ya miaka 75.
