Beyoncé ashinda tuzo ya 28 katika tuzo za Grammy kwa nyimbo zake.

Maelezo ya sauti, Beyoncé ashinda tuzo ya 28 katika tuzo za Grammy

Mwanamuziki Beyoncé ajizolewa tuzo ya 28 katika tuzo ya Grammy mwaka huu. Nyimbo yake kuhusiana na historia ya ukatili wa polisi kwa watu weusi 'Black Parade' iliongoza katika kitengo cha R&B.