Mwanamfalme William: Familia ya Kifalme 'haina ubaguzi' baada ya mashtaka ya Meghan na Harry

Maelezo ya sauti, Mwanamfalme William: Familia ya Kifalme 'haina ubaguzi'

Duke wa Cambridge Prince William amesema familia ya kifalme sio familia ya kibaguzi katika maoni yake ya kwanza baada ya mashtaka ya mtawala na mke mtawala wa Sussex Harry na Meghan kwenye mahojiano ya runinga. Prince William pia amesema bado hajazungumza na kaka yake lakini atafanya hivyo.