Mbao zinazotengenezwa kwenye mahabara bila jua au mchanga

Maelezo ya sauti, Mbao zinazotengenezwa kwenye mahabara bila jua au mchanga

Mwanasayansi wa Marekani Ashley Beckwith amesema yuko mbioni na mpango wa kuzalisha mbao kwenye mahabara bila jua au mchanga. Beckwith amesema anatumia seli za mmea wa Zinna kutengeneza mbao hizo zitakazotumika kutengeneza bidhaa mbalimbali.