Swift ailamu filamu ya Netflix kwa 'unyanyasaji wa kijinsia' katika filamu ya ucheshi
Mwanamuziki Taylor swift ameulaumu mtandao wa filamu wa Netflix kwa kuwadunisha wanawake. Kupitia mtandao wake wa twitter amesema utani ulioko katika Makala ya mwisho ya kipindi cha ucheshi cha Ginny and Georgia ambapo muhiska mkuu Ginny Miller na mamake Gergio wanaonekana wakigombana kuhusiana na mahusiano.
