Mtoto anayewafundisha wanafunzi wenzake somo la Sayansi na Quran nchini Yemen

Maelezo ya sauti, Mtoto anayewafundisha wanafunzi wenzake somo la Sayansi na Quran nchini Yemen

Kijana wa miaka 9 huko Yemen asiye na uwezo wa kuona huwa mwalimu endapo mwalimu wao wa darasa hatafika shuleni. Mtoto huyo huwafunza wanafunzi wenzake soma la sayansi na Quran. Kwa video hiyo tembelea BBCNews.com