Mwalimu mmoja wa uongeleaji, Jasmine Harrison kutoka Kaskazini mwa Yorkshire
Mwalimu mmoja wa uongeleaji, Jasmine Harrison kutoka Kaskazini mwa Yorkshire amekuwa mwanake wa kwanza mdogo kupiga mashua kwa siku 70 peke yake katika bahari ya Atlantiki. Harrison ameweka rekodi mpya ya kimataifa.
