Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mwanamziki Pink na muwewe washerehekea miaka 15 ya ndoa!
Ndoa za watu maarufu zimeonekana kuwa na misuko suko sio tu kimataifa ila wasanii pia wa mataifa ya Afrika… Hata ivyo sio swla linalomsumbua mwanamziki wa Pop Pink. Nyota huyo amesherehekea miaka 15 ya ndoa yake kwa mumewe Carey Hart! Kwenye ukurasa wa Instagram, ameandika ujumbe wa kumuenzi mumewake kuwa anatarajia miaka mingi zaidi.