Corona: Tuzo za Grammys zaahirishwa hadi Machi

Maelezo ya sauti, Corona: Tuzo za Grammys zaahirishwa hadi Machi

Tuzo za Grammy za mwaka huu 2021 zimeahirishwa kwa sababu ya wasiwasi wa virusi vya corona. Hafla hiyo sasa itafanyika Machi 14, na wala sio Januari 31. Miongoni mwa wanamziki wanaotarajiwa kuwa na ushindi mkubwa ni pamoja na Beyoncé, Dua Lipa na Taylor Swift maarufu kwa kibao hiki.