Je,Kim Kardashian na Kanye West wanaachana?
Baada ya takriban miaka saba ya ndoa ya mwanamitindo, Kim Kardashian na muimbaji maarufu wa Rap Kanye West huenda ikavunjika.
Hii ni kulingana na gazeti la people nchini Marekani. Wawili hao wanasemekana kutokuwa na maelewano mazuri katika ndoa yao na kuishi maisha tofauti. kanye amepata umaarufu na kibao fade.
