EPL: Liverpool yatoka sare ya bao 1 na West Bromwich Albion
Semi Ajayi alifunga bao la mnamo dakika za lala salama dhidi ya viongozi wa jadwali la Epl Liverpool na kupatia West Brom alama muhimu ya kwanza tangu tangu Sam Allardyce achukue uskani wa timu hio. Liverpool walitawala kwa muda mrefu lakini Baggies waliboresha mchezo wao na kusawazisha dakika ya 83.
