Chokoleti zilizohifadhiwa miaka 120 iliopita zapatikana
Mwanamume mmoja anesimamia maktaba nchini Australia amepata chokoleti zilizohifadhiwa zaidi ya miaka 120 iliopita na mtunzi wa mashairi maarufu nchini humo, Banjo Paterson. Zilikuwa zimehifadhiwa vizuri na kuwa salama kabisa hata kuliwa.Tembelea tovuti ya BBC utazame video ilio na maelezo kamili.
