Ashtakiwa kwa kusema nguo anazouza,zinazuia maambukizi ya Corona

Maelezo ya sauti, Ashtakiwa kwa kusema nguo zake zinazuia maambukizi ya Corona

Mmiliki wa kampuni ya mavazi ya Activewear Lorna Jane ,anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa madai kwamba nguo zake zinaweza kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona. Mwezi Julai kampuni hiyo ilidai nguo zake zilikuwa zimepuliziwa dawa ya LJ Shield inayozuia virusi hivyo. Tembelea tovuti ya bbc kwa ufahamu bora.